Ofisi ya mkurugenzi inapatikana karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya ya masasi, ipo mita 700 kutoka stendi ya mabasi ya masasi kupitia barabara ya kuelekea Uwanja wa wa mpira wa boma.
Ili uwee kupimiwa shamba lako na kupata hati miliki, utatakiwa kuchukua fomu ya maombi ya kupimiwa kwenye kijiji baada ya kukubaliwa utaenda benki kulipia gharama ya kupimiwa kwenye akaounti ya 7100000000
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa