Kama ilivyo kawaida kwa watumishi wote ,kuwa kila jumaamosi ya mwisho wa mwezi mnatakiwa kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira ndani ya Halmashauri na Maeneo yanayozunguka Hivyo baasi kupitia Tangazo hili mnatakiwa mjitokeze kwa wingi na kuwahi mapema kwa muda uliopangwa.
Tutunze mazingira kwa Afya zetu.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa