• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Tangazo la kazi ya ufundi Ujenzi

27 September 2018

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA-TAMISEMI

HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI-MTWARA

 

 

 

 


TANGAZO LA KAZI YA UFUNDI UJENZI

                                                                                Tarehe 27/09/2018                                 

Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imepokea fedha kutoka Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- TAMISEMI  kwa ajili ya Ujenzi wa kituo cha afya  Chiungutwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi anatangaza nafasi ya kazi ya FUNDI UJENZI kwa ajili ya kujenga kituo cha afya cha Chiungutwa.

Majengo yatakayojengwa ni kama yafuatavyo:

  • Jengo la wagonjwa(OPD).
  • Wodi ya kulaza Wagonjwa.
  • Jengo la Mama na Mtoto.
  • Kichomea taka.
  • Shimo la kutupia kondo la nyuma.

Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi anakaribisha maombi ya mafundi ujenzi binafsi au vikundi vya fundi ujenzi wa majengo wenye/mwenye sifa zifuatazo:-

  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe tayari kuheshimu mkataba wa kazi atakayopewa.
  • Awe na busara ya kusikiliza ushauri wa kitaalamu wa ujezi.
  • Awe anajua kusoma ramani /michoro na kutoa tafsiri  sahihi.
  • Awe na akaunti ya benki kwa ajili ya malipo.
  • Awe na  mafundi wasaidizi, vibarua na  vifaa vya kutosha.
  • Fundi awe na uwezo wa kujenga,kumaliza na kukabidhi kazi kwa muda waa miezi mitatu tu.
  • Nyaraka ya zabuni(Fomu za Maombi) zinapatikana katika ofisi ya Katibu wa Bodi ya Zabuni (Afisa Manunuzi) Hlmashauri ya Wilaya Masasi.
  • Maombi yote yawasilishwe ofisi ya Katibu wa Bodi ya Zabuni (Afisa Manunuzi) Masasi.
  • Maombi yatakayochelewa, maombi yasiyo kamilika, maombi ambayo hayatakuwepo siku ya ufunguzi,hayatapokelewa na kuhusishwa na zoezi la uchambuzi wa kumpata fundi atakayefanya kazi ya ujenzi.
  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11/10/2018 Saa 04:30 Asubuhi.
  • Maombi ya Zabuni yatafunguliwa tarehe 11/10/2018 Saa 04:30 Asubuhi

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO

TANGAZO LA KAZI YA UFUNDI UJENZI.pdfx

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI YAMKABIDHI PIKIPIKI MPYA AINA YA SANLG BW.YUSUF SIJAONA KARUME KAMA FIDIA.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA WILAYANI MASASI WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS PIPMIS

    June 26, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI LAVUNJWA RASMI.

    June 19, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAANZA VIZURI MASASI DC

    June 17, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa