Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi anapenda kuwatangazia wananchi wote juu ya uwepo wa tovuti ya halmashauri yenye anuani ya www.masasidc.go.tz , kama chombo cha kupata taarifa za utekelezaji wa shughuli mbalimbali za halmashauri.
Wananchi wote mnaombwa kuitembelea tovuti hii ili muweze kupata taarifa za shughuli zinazofanywa na Halmashauri katika kuwahudumia wananchi pamoja na kutoa malalamiko yenu juu ya mambo mbalimbali na mtapatiwa majibu kwa urahisi zaidi.
Imetolewa na:
Mkurugenzi mtendaji
Halmashauri ya wiaya ya masasi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa