Ifuatayo ni orodha ya watumishi waliokubaliwa kuingizwa katika mpango wa mafunzo mwaka 2019/2020. Watumishi wanaruhusiwa kuomba vyuo na pindi wanapoomba "RELEASE LETTER" sharti waambatishe orodha (Printout) hii.
MPANGO WA MAFUNZO KWA MWAKA WA FEDHA 2019 - 2020 WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.pdf
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa